mandhari viwambo
Stellarium ni programu huria na iliyo wazi ya usayaria ya tarakilishi lako. Inaonyesha kikweli mbingu katika 3D, kama tu utakavyoona ukiangalia na jicho uchi au ukitumia darubini.
Inatumika katika madomo ya usayaria. Ratiibisha tu na uendelee. Mandhari viwambo

hulka

katika toleo 0.9.0

mbingu

  • maelezi ya nyota zaidi ya 600,000
  • maelezi mengine za nyota zaidi ya milioni 210
  • vielelezo vya mikusanyiko ya nyota
  • picha za nebulae (orodha nzima ya Messier)
  • Muigo-kweli wa Milky Way
  • Muigo kweli wa maanga, macheo na machweo
  • sayari na vimwezi vyao

sura

  • ulengaji hodari
  • usukani wa wakati
  • sura ya lugha mbalimbali
  • uwezo wa kurekodi na kuonyesha maonyesho yako
  • vionyesho katika jicho la samaki za kuba za usayaria
  • vionyesho kibiringo vya kuba yako
  • sura ya kielelezo na usukani kamili kutumia bodi ya vitufe
  • usukani wa darubini

vielelezo macho

  • jedwali za istiwai na za marejeo
  • nyota zikimetameta
  • vimondo
  • miigo ya kupatwa kwa mwezi au dunia
  • mandhari, sasa na maonyesho vibiringo

pambo

  • ongeza vipengele vyako katika mbingu, mandhari, mikusanyiko ya nyota picha, hati...

wiki

Wiki ni pahali ambapo watumizi wa stellarium hudumisha maarifa ya programu yenyewe, na ambapo wewe waweza changia pia.

正體中文 - Català - Česky - Deutsch - Ελληνικά - English - Español - Esperanto - Français - 한국어 - Shqip - Hrvatski - Italiano - ქართული - Русский - Kiswahili - Magyar - Nederlands - Polski - Português - Suomi - 日本語